Wycliff -  - Nairobi
Wycliff -  - Nairobi

Wycliff's email address and phone number have been validated.

Wycliff

  • Rate PKR 5,325
  • Response 1h
Wycliff -  - Nairobi

PKR 5,325/hr

Mimi ni mzungumzaji asilia wa Kiswahili na nahakikisha nitakupatia kila ninachojua wewe kama mwanafunzi na mgeni.

Lesson location

    • Online

About Wycliff

Jambo. Jina langu ni Wycliff mzaliwa wa nchi ya Kenya na ninafundisha Kiswahili, ambayo ni lugha ya asili barani Afrika hasa mashariki. Hii ni lugha ambayo utapata furaha kuijifunza na kuitumia unapofika Mashariki mwa Afrika au kukutana na watu kutoka hapa. Karibu katika darasa langu.

See more

About the lesson

  • All Levels
  • English

All languages in which the lesson is available :

English

Nitafanya uzoefu huu uwe wa kufurahisha kwa kuongeza maneno mapya ya Kiswahili yanayotokana na vizazi vipya yanayoitwa sheng.
Hii ni lugha ambayo utapata furaha kuijifunza na kuitumia unapofika Mashariki mwa Afrika au kukutana na watu kutoka hapa. Karibu katika darasa langu.

See more

Rates

Rate

  • PKR 5,325

Pack prices

  • 5h: PKR 25
  • 10h: PKR 50

online

  • PKR 5,325/h

Similar teachers in Nairobi