

The profile of Vanessa and their contact details have been verified by our experts
Vanessa
- Rate PKR 2,786
- Response 1h

PKR 2,786/hr
1st lesson free
Mwalimu bora wa Kiswahili kwa mafanikio ya haraka! Mbinu zangu za kufundisha ni shirikishi, zenye kutumia mifano halisi, mazoezi ya mawasiliano na ufuatiliaji wa maendeleo ya mwanafunzi. Nina uelewa n
Lesson location
- Online
About Vanessa
Mimi ni mwalimu mwenye shauku na uzoefu wa kufundisha Kiswahili kwa njia rahisi, ya kuvutia, na yenye matokeo bora. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu ya kufundisha, hasa kupitia mtandao. Kupitia kwangu, wanafunzi wameweza kupata ujasiri wa kuongea na kuelewa Kiswahili kwa ufasaha. Pamojana hayo, ninapenda darasa changamfu ili kuboresha uelewa na kuzidisha hamu ya mwanafunzi kujifunza.
About the lesson
- All Levels
- English
All languages in which the lesson is available :
English
Ninafundisha Kiswahili kwa mbinu shirikishi zinazompa uhuru mwanafunzi darasani kuchangia mada ili kukuza uelewa wake. Kila somo huandaliwa kulingana na kiwango na malengo ya mwanafunzi. Ninatumia lugha na maelezo rahisi yanayoeleweka na kuweka mazingira yawe rafiki kwa kujifunzia. Kila somo ni hatua ya mwanafunzi kuelekea kuboea na kukuza ujasiri wake katika lugha hii.
Rates
Rate
- PKR 2,786
Pack prices
- 5h: PKR 13,928
- 10h: PKR 27,855
online
- PKR 2,786/h
free lessons
The first free lesson with Vanessa will allow you to get to know each other and clearly specify your needs for your next lessons.
- 30mins
Similar teachers in Buffalo
Hafiza
Mianwali & Online
- PKR1,000/hr
- 1st lesson free
Nabeel
Wah & Online
- PKR500/hr
- 1st lesson free
Beenish
Lahore & Online
- PKR4,000/hr
- 1st lesson free
Inara
Islamabad & Online
- PKR500/hr
- 1st lesson free
Arslan
Bahawalnagar & Online
- PKR500/hr
- 1st lesson free
Shakeeba
Wazirabad & Online
- PKR1,000/hr
- 1st lesson free
Malik Mahmood
Lahore & Online
- PKR1,500/hr
- 1st lesson free
Tahmeena
Wah & Online
- PKR1,000/hr
- 1st lesson free
Abdul
Karachi & Online
- PKR3,500/hr
- 1st lesson free
Fatima
Lahore City & Online
- PKR1,500/hr
- 1st lesson free
Minahil Naeem
Lahore & Online
- PKR1,000/hr
- 1st lesson free
Sadia
Islamabad & Online
- PKR600/hr
- 1st lesson free
Waqas
Lahore City & Online
- PKR600/hr
- 1st lesson free
-
See tutors
