Mdatho -  - Nairobi
1st lesson free
Mdatho -  - Nairobi

Mdatho's email address and phone number have been validated.

Mdatho

  • Rate PKR 4,273
  • Response 1h
Mdatho -  - Nairobi

PKR 4,273/hr

1st lesson free

Contact

1st lesson free

1st lesson free

Mwalimu mwenye uzoefu kwenye kufunza Kiswahili kwa viwango vyote jijini Nairobi kwa njia rahisi.

Lesson location

    • Online

About Mdatho

Kama mwalimu wa Kiswahili mwenye ujuzi, lengo langu kuu ni kukupa usaidizi bora utakaokusaidia kufanikiwa. Kufundisha kwangu kunazingatia uelewa wa haraka na matokeo ya dhahiri. Ninapenda kufundisha kwa sababu inaleta furaha kuona wanafunzi wangu wakipiga hatua kubwa kutoka hatua ya kwanza hadi kuwa na uwezo wa kuzungumza Kiswahili kwa ufasaha kabisa.

See more

About the lesson

  • All Levels
  • English

All languages in which the lesson is available :

English

Njia yangu ya kufundisha ni ya kipekee na inayomweka mwanafunzi mbele. Masomo yetu yatazingatia mazungumzo ya kila siku, msamiati, sarufi, na utamaduni wa Kiswahili ili ukue haraka. Kila somo huchukua dakika 60 na linawafaa wanafunzi wa umri wowote wanaotaka kujifunza Kiswahili kwa ajili ya kazi, masomo, au usafiri. Nina uzoefu mkubwa wa kusaidia wanafunzi kufikia malengo yao kwa urahisi.

See more

Rates

Rate

  • PKR 4,273

Pack prices

  • 5h: PKR 20
  • 10h: PKR 40

free lessons

The first free lesson with Mdatho will allow you to get to know each other and clearly specify your needs for your next lessons.

  • 1hr

online

  • PKR 4,273/h

Similar teachers in Nairobi